Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kalvin Phillips kuondoka Man City

Kalvin Phillips 209 1140x640.png Kalvin Phillips

Sun, 22 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester city ipo tayari kumuachia kiungo wake wa kimataifa wa England Kelvin Phillips (27) kuondoka klabuni hapo ifikapo mwezi January.

Kelvin Phillips tangu ajiunge na Manchester city hajawa na nafasi ya kucheza hivyo anaweza kuondoka klabuni hapo katika dirisha dogo la usajili,

Tayari Vilabu vingi vinahusishwa na kutaka kumsajili kiungo huyo ila Bayern Munich wapo mstari wa mbele zaidi kuihitaji saini ya kiungo huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live