Golikipa namba moja wa Singida Fountain Gate, Beno Kakolanya amekosa mazoezi ya timu hiyo leo yanayofanyika jioni hii kwenve viwania vya Gymkhana jijini Dar es salaam kufuatia kuwa majeruhi na hivyo kuwa na asilimia nyingi za kuukosa mchezo huo wa ljumaa dhidi ya waaajiri wake wa zamani Yanga SC.
Golikipa namba moja wa Singida Fountain Gate, Beno Kakolanya amekosa mazoezi ya timu hiyo leo yanayofanyika jioni hii kwenve viwania vya Gymkhana jijini Dar es salaam kufuatia kuwa majeruhi na hivyo kuwa na asilimia nyingi za kuukosa mchezo huo wa ljumaa dhidi ya waaajiri wake wa zamani Yanga SC. Je, Singida bila Kakolanya unahisi watatoboa hiyo mechi?