Sun, 24 Mar 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mshambuliaji wa klabu ya Al Ahly Mahmoud Kahraba ameeleza kuwa tangu akiwa anaitumikia Zamalek ndoto yake kubwa ilikuwa kucheza Al Ahly.
Ikumbukwe Al Ahly na Zamalek ni timu ambazo hazichangamani hata kidogo na ni dhambi kubwa shabiki wa Al Ahly kumsapoti kivyovyote Zamalek.
Mashabiki wa Zamalek kwa asilimia kubwa wamechukizwa na kauli za nyota huyo licha ya kuwa hivi karibuni Al Ahly amekuwa akichukua nyota wanaofanya vizuri pale Zamalek ikiwemo pia Emam Ashour.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live