Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kagoma atoweka Singida Fountain Gate, hajalipwa miezi minne

Yusuph Kagoma Kiungo wa Singida Fountain Gate FC , Yusuph Kagoma

Tue, 16 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Singida Fountain Gate FC , Yusuph Kagoma amekimbia kambini kufatia kutolipwa mshahara wake wa miezi minne ndani ya kikosi hicho.

Kiungo wa Singida Fountain Gate FC , Yusuph Kagoma amekimbia kambini kufatia kutolipwa mshahara wake wa miezi minne ndani ya kikosi hicho. Kupitia chanzo ambacho hakijataka kutwaja jina lake kimesema mchezaji huyo yupo nyumbani kwao Kigoma akiendeea na mazoezi akisubiri mkataba wake kumalizika msimu huu 2023 – 2024

Chanzo: www.tanzaniaweb.live