Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kagoma asaini Mkataba mpya Singida Fountain Gate

IMG 4451 Yusuph Kagoma.jpeg Yusuph Kagoma

Sun, 25 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Singida Fountain Gate imemuongezea mkataba wake kiungo Yusuph Kagoma ambao utamuweka kwenye timu hiyo hadi mwaka 2026.

Klabu ya Singida Fountain Gate imemuongezea mkataba wake kiungo Yusuph Kagoma ambao utamuweka kwenye timu hiyo hadi mwaka 2026. Singida imeanza mchakato wa kuwazuia nyota wake kwa ajili ya kujipanga na msimu ujao ambapo watakuwa na kibarua katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live