Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kagere fresh, bado Kazadi

Francy Kazadi Mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Francy Kazadi

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Meddie Kagere hatimaye kufuta gundu la kutofunga muda mrefu, shughuli pevu imebaki kwa Francy Kazadi.

Kagere alifunga bao lake la kwanza msimu huu, akiunganisha vema mpira wa friikiki iliyopigwa na Bruno Gomes kwenye ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union.

Bao hilo ni kama limefungua njia kwake Kagere kusaka mabao zaidi ambapo pia amekuwa akipatiwa nafasi ya kuanza zaidi tangu ujio wa kocha mpya tofauti na makocha waliotangulia.

Hata hivyo, hali bado ni ngumu kwa straika Francy Kazadi ambaye anakaribia MWAKA bila kufunga bao tangu alipofanya hivyo kwenye michuano ya Mapinduzi ya Januari mwaka huu.

Arena Express Group tutamfanyia Brithday mwanetu Kazadi ikiwa atamaliza mwaka bila Bao

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: