Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kagera Sugar yaambulia sare kwa Dodoma Jiji

Kagera X Dodoma Kagera Sugar yaambulia sare kwa Dodoma Jiji

Sun, 14 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Dodoma Jiji FC walitangulia kwa bao la winga Iddi Bahati Kipagwile dakika ya 11, kabla ya mshambuliaji Moubarak Hamza kuisawazishia Kagera Sugar kwa penalti dakika ya 48.

Wenyeji, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Dodoma Jiji FC walitangulia kwa bao la winga Iddi Bahati Kipagwile dakika ya 11, kabla ya mshambuliaji Moubarak Hamza kuisawazishia Kagera Sugar kwa penalti dakika ya 48. Kwa matokeo hayo, Kagera Sugar inafikisha pointi 25 katika mchezo wa 22 nafasi ya saba, wakati Dodoma Jiji FC inafikisha pointi 24 katika mchezo wa 21 nafasi ya tisa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live