Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kagera Sugar watakata mbele ya Namungo Kaitaba

Kagera X Namungo .jpeg Mchezo ulimalizika kwa wenyeji kupata alama 3

Sun, 19 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la chipukizi Erick Mwijage dakika ya 79 limeipa Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Februari 18 Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

Bao pekee la chipukizi Erick Mwijage dakika ya 79 limeipa Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Februari 18 Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Kwa matokeo hayo, Kagera Sugar ya kocha Mecky Mexime inafikisha pointi 29 na kusogea nafasi ya sita ikiizidi tu wastani wa mabao Namungo FC baada ya wote kucheza mechi 23.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live