Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kagera Sugar waichapa Mtibwa Manungu

Mtibwa Vs Kagera Kagera Sugar waichapa Mtibwa Manungu

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Kagera Sugar imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jana Uwanja wa Manungu Complex, Turiani mkoani Morogoro.

Mabao ya Kagera Sugar yamefungwa na Ally Nassor ‘Ufudu’ dakika ya 30 na Said Omar dakika ya 90.

Kwa ushindi huo wanafikisha pointi nane na kusogea nafasi ya sita, wakati Mtibwa Sugar inabaki na pointi zake mbili baada ya wote kucheza mechi sita na sasa inashika mkia kwenye Ligi ya timu 16.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: