Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kagera, Geita Gold hakuna mbabe

Kagera Sugar Rr Kikosi cha Kagera Sugar

Mon, 26 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya 2-2 na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

Mabao ya Kagera Sugar leo yamefungwa na Deus Bukenya dakika ya 32 na Anuary Jabir dakika ya 53, wakati ya Geita Gold yamefungwa na Geoffrey Manyasa dakika ya 41 na Daniel Lyanga dakika ya 88.

Kwa matokeo hayo, timu zote zinafikisha pointi 24 katika mchezo wa 18, Kagera Sugar ikienda nafasi ya sita na Geita Gold nafasi ya saba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live