Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kaeda amwaga machozi kisa Yanga Princess

Kaeda Wilson Alia Kiungo mshambuliaji wa Yanga Princess, Kaeda Wilson

Sat, 15 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mchezo wa mwisho Ligi kuu ya Wanawake wachezaji wa Yanga Princess walitumia nafasi ya kumuaga na mchezaji mwenzao @dadakaeda anaerejea nchini Marekani kuendelea na masomo yake baada kuitumikia Yanga Princess kwa msimu mmoja.

Baada ya mchezo wa mwisho Ligi kuu ya Wanawake wachezaji wa Yanga Princess walitumia nafasi ya kumuaga na mchezaji mwenzao @dadakaeda anaerejea nchini Marekani kuendelea na masomo yake baada kuitumikia Yanga Princess kwa msimu mmoja. Kwenye ukurasa wa Instagram @yangasc_princess wamesema wanamshukuru Sana kaeda kwa kuitumikia Yanga Princess kwa msimu mmoja na kumtakia kila kheri kwenye masomo yake huko Nchini Marekani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live