Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kadi ya Bluu mbioni kutumika kwenye Soka

Blue Card Kadi ya Bluu mbioni kutumika kwenye Soka

Fri, 9 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la soka Duniani (FIFA) lipo kwenye mchakato wa sheria mpya ya matumizi ya kadi ya Bluu ambapo wachezaji watalazimika kutolewa uwanjani kwa kipindi cha dakika 10 kabla ya kurejeshwa mchezoni kwa mchezo usio wa kiungwana na kupinga maamuzi ya refa.

Shirikisho la soka Duniani (FIFA) lipo kwenye mchakato wa sheria mpya ya matumizi ya kadi ya Bluu ambapo wachezaji watalazimika kutolewa uwanjani kwa kipindi cha dakika 10 kabla ya kurejeshwa mchezoni kwa mchezo usio wa kiungwana na kupinga maamuzi ya refa. Bodi ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Ifab) imetia saini sheria hiyo mpya ambayo yatakuwa mabadiliko ya kwanza ya kadi kwenye soka tangu kuanza kwa kadi za njano na nyekundu kwenye Kombe la Dunia 1970.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live