Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kadi nyekundu ya Joao Felix kuighaimu Chelsea bilioni 3.9

Joao Felix Red Card.jpeg Kadi nyekundu ya Joao Felix kuighaimu Chelsea bilioni 3.9

Fri, 13 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kadi nyekundu ya Joao Felix dhidi ya Fulham inamaanisha atakosa michezo mitatu ijayo ya ligi.

Michezo hiyo mitatu atakayoikosa nyota huyo ni dhidi ya Crystal Palace (Nyumbani), Liverpool (Ugenini), Fulham (Nyumbani).

Michezo hii ambayo ataikosa ni sawa na zaidi ya €1,550,000 (sawa na Tsh bilioni 3.9) katika ada yake ya mkopo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live