Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kaa mbali na hizi sura, Namba zao hazigusiki

Mbappe With Haaland Kaa mbali na hizi sura, Namba zao hazigusiki

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Huu ambapo nyota wawili vijana katika Dunia ya soka wameshikwa vichwa vya wapenda kandanda.

Erling Haaland na Kylian Mbappe wanajidhihirisha mpaka uwanjani kuwa wanastahili kuwa gumzo katika soka kwa sasa kutokana na takwimu zao mpaka sasa.

Erling Haaland na Kylian Mbappe msimu huu:

Erling Haaland:

Mechi: 18

Mabao: 17

Assists: 4

Kylian Mbappe:

Mechi: 15

Mabao: 15

Assist: 1

Hizi namba sio za kawaida, hii ni mitambo ya mabao

Chanzo: www.tanzaniaweb.live