Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KUMEKUCHA NBCPL: Simba yaanza viporo na Mashujaa

KUMEKUCHA NBCPL: Simba Yaanza Viporo Na Mashujaa.jpeg KUMEKUCHA NBCPL: Simba yaanza viporo na Mashujaa

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wanarejea Ligi Kuu ya NBC kwa kuanza kucheza mechi zao za viporo ambapo wataanza na Mashujaa FC katika Uwanja wa Lake Tanganyika Februari 3, 2024.

Baada ya kumalizana na Mashujaa, Simba atasafiri hadi Tabora katika Uwanja wa Ali Hassani Mwinyi kuwafuata Tabora United Februari 6 na kisha watarejea nyumbani kuwakaribisha Azam FC Februari 9 ambapo uwanja watakaochezea utatangazwa baadae.

Baada ya Azam FC, Simba wataelekea jijini Mwanza kuwakabili Geita Gold katika dimba la CCM Kirumba Februari 12,2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live