Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KUMBUKIZI: Zlatan alivyosubiri miaka minne kulipiza rafu ya Materazzi

Zlatan Vs Materazzi.jpeg KUMBUKIZI: Zlatan alivyosubiri miaka minne kulipiza rafu ya Materazzi

Sat, 8 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Straika wa zamani wa Vilabu vya Ajax, Juventus, Inter Milan, AC Milan, Man United, PSG, Barcelona, LA Galaxy na Timu ya Taifa ya Sweden Zlatan Ibrahimovic ametupa kisa kinachoonesha muendelezo wa ubabe wake katika soka.

Akizungumza Zlatan anasema

"Nilikuwa Juventus, na tulicheza dhidi ya Inter. Materazzi alinikabili na niliumia. Miaka minne baadaye nilimpiga teke, Nilimpeleka hospitali. Dejan Stankovic aliniuliza 'Kwa nini ulifanya hivyo?' Nilimwambia: 'Nimekuwa nikingojea hii kwa miaka 4."

Zlatan ametangaza kustaafu Soka la kiushindani mwaka huu (2023) baada ya kudumu kwa miongo takribani miwili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live