Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KUMBUKIZI: Unamkumbuka huyu mwamba?

Arsene Wenger Www Meneja wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger

Thu, 12 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku kama ya leo mwaka 1996 Arsene Wenger kwa mara ya kwanza alianza majukumu yake huko Arsenal kama mkufunzi mkuu wa klabu hiyo na mchezo wake wa kwanza ulikuwa dhidi ya Blackburn rovers mchezo uliisha Arsenal wakishinda. 2 - 0.

Wenger aliiongoza Arsenal kwenye michezo 1235 huku michezo 707 akishinda kwenye mashindano yote!

Baada ya hapo kilichobaki ni historia, kocha huyo raia wa ufaransa aliweza kushinda mataji yafuatayo!

Ngao ya jamii Makombe 7

Kombe la FA Makombe 7

Kombe la ligi epl Makombe 3

kocha huyo pia aliwahi kushika nafasi ya pili kwenye mashindano ya ligi ya mabingwa Uefa pamoja na Europa ligi.

Mtag mtu wako unaemjua shabiki lia lia wa Arsenal aje aone unyama alioufanya kocha wake Wenger kipindi anaitumikia The gunners!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live