Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KUMBUKIZI: Gareth Bale alivyopeleka simanzi Liverpool

Bale Gareth 26 KUMBUKIZI: Gareth Bale alivyopeleka simanzi Liverpool

Fri, 26 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

May 26, 2018 siku kama ya leo wakati Real Madrid wakiichapa Liverpool, na kushinda Ligi ya Mabingwa kwa mara ya tatu mfululizo, Gareth Bale alitokea benchi na kufunga mabao mawili.

Aliizungusha kiev hiyo Madrid chini ya Zinadine Zidane (Zizzou) wakashinda fainali ya Ligi ya Mabingwa ambayo ilipeleka kilio kwa Mohamed Salah pamoja na Liverpool.

Katika Mchezo huo Liverpool walikubali kichapo cha mabao 3-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live