Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KMKM wabeba Ubingwa Ligi Kuu Zanzibar

KMKM Zanzibar KMKM wabeba Ubingwa Ligi Kuu Zanzibar

Thu, 8 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

KMKM wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya PBZ Zanzibar kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuichapa Chipukizi mabao 2-0 jana Uwanja wa Amani, Zanzibar, hivyo kumaliza na pointi 69, nne Zaidi ya KVZ iliyoshika nafasi ya pili, wote wakifuatiwa na Mlandege pointi 53, Malindi 49 na Zimamoto 45.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live