Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KMKM waanza na kichapo Kombe la Shirikisho Afrika

KMKM Vs St George.jpeg KMKM waanza na kichapo Kombe la Shirikisho Afrika

Fri, 18 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya KMKM imejiweka njia panda katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 2-1 na St George ya Ethiopia katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.

Timu ya KMKM imejiweka njia panda katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 2-1 na St George ya Ethiopia katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Timu hizo zitarudiana Agosti 27 Uwanja wa Abebe Bikila Jijini Addis Ababa, Ethiopia na mshindi wa jumla atakutana na mabingwa watetezi, Al Ahly ya Misri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live