Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KMC washusha mrithi wa Abel alietimkia Simba

Isihaka Hakimu KMC.jpeg Aliyekuwa Mlinda lango wa klabu ya Ruvu Shooting Isihaka Hakimu

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Mlinda Mlango wa klabu ya Ruvu Shooting Isihaka Hakimu 'Yaya' amejiunga na wakusanya mapato wa Kinondoni (KMC) kwa kandarasi ya Miaka Miwili,

Aliyekuwa Mlinda Mlango wa klabu ya Ruvu Shooting Isihaka Hakimu 'Yaya' amejiunga na wakusanya mapato wa Kinondoni (KMC) kwa kandarasi ya Miaka Miwili, Isihaka Hakimu anajiunga na KMC baada ya Aliyekuwa kipa wao Hussein Abel kujiunga na Simba SC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live