Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KMC haoo nafasi ya tatu Ligi Kuu

IMG 7258.jpeg KMC haoo nafasi ya tatu Ligi Kuu

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la Ibrahim Mao dakika ya 15 limetosha kuipa KMC ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jana Oktoba 31 Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Bao pekee la Ibrahim Mao dakika ya 15 limetosha kuipa KMC ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jana Oktoba 31 Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, KMC inafikisha pointi 15 katika mchezo wa nane na kupanda nafasi ya tatu, wakati Mtibwa Sugar inabaki na pointi zake tano ikiendelea kushika mkia katika Ligi y timu 16 baada ya wote kucheza mechi nane.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: