Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KMC, Al Hilal hakuna mbabe

Kmc Yapiga KMC, Al Hilal hakuna mbabe

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyokuwatisha KMC na Al Hilal ya Sudan umemalizika kwa sare ya bao 1-1 ambapo la KMC limefungwa na Awesu Awesu.

Mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyokuwatisha KMC na Al Hilal ya Sudan umemalizika kwa sare ya bao 1-1 ambapo la KMC limefungwa na Awesu Awesu. Mechi hiyo imepigwa katika viwanja vya shule ya Baobab jana Novemba 16.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live