Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: Hivi hapa vikosi vinavyianza Mamelodi vs Wydad

Mamleodi Vs Wydad Squad Hivi hapa vikosi vinavyianza Mamelodi vs Wydad

Sat, 20 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea leo kwa mchezo mmoja wa Nusu Fainali ya mkondo wa pili kati ya wenyeji Mamelodi Sundowns kutoka Agrika ya Kusini wakiikaribisha Wydad Club Athletic kutoka Morocco.

Mchezo wa nusu Fainali ya Kwanza baina ya miamba hao ulimalizika kwa sare ya bila kufungana na sasa ndio wakati wa kujua nan anakwenda kukutana na Ahly mchezo wa Fainali.

Hivi hapa vikosi vya timu zote vinavyoanza mchezo wa leo;

MAMELODI SUNDOWNS

Ronwen Williams Khuliso Mudau Mothobi Mvala Abdelmonaim Boutouil Audrey Modiba Teboho Mokoena Sphelele Mkhulise Sipho Mbule Thapelo Morena Peter Shalulile Themba Zwane

WYDAD CASABLANCA

Youssef El Motie (GK) Ayoub El Amloud Arsene Zola Kiaku Amine Aboulfath Yahya attiat-Allah Yahya Jabrane (C) Reda Jaadi Abdellah Haimoud Zouheir El Moutaraji Mohamed Ounnajem Bouly Sambou

Chanzo: www.tanzaniaweb.live