Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza vs Medeama

Pacome X Aziz Ki Majeruhi.png #KLABUBINGWA: Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza vs Medeama

Wed, 20 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Yanga kinaingia Uwanjani muda mchache kutoka sasa kusaka alama tatu za kwanza msimu huu Ligi ya Mabingwa Afrika wanapoikaribisha Medeama ya Ghana.

Yanga ambayo inaburuza mkia katika msimamo wa kundi D ina alama mbili pekee na inahitaji ushindi dhidi ya Medeama leo ili kufufyua matuamiani ya kusonga hatua ya Robo Fainali.

Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza mchezo wa leo;

DIARRA

YAO

KIBABAGE

MWAMNYETO (C)

JOB

AUCHO

MAXI

MUDATHIR

MUSONDA

AZIZ KI

PACOME

Benchi wapo;

METACHA, KIBWANA, FRED, SUREBOY, MOLOKO, SKUDU, FARID, MZIZE, KONKONI

Unawapa Yanga nafasi gani leo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: