Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza vs Medeama

Yanga Leo Kumasi #KLABUBINGWA: Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza vs Medeama

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wawakalishi wa Tanzania katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Timu ya Yanga inashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa kuwavaa Wenyeji Medeama mchezo wa Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mchezo huo wa kundi D unapigwa katika Uwanja wa Baba Yara Katika Jiji la Kumasi nchini Ghana.

Yanga ambao wanaburuza mkia katika Kundi D wakiwa na alama moja pekee wanahitaji ushindi katika mchezo huu wa leo ili kuweka hai matumaini ya kufuzu kwa hatua ya Robo Fainali.

Hiki hapa chini Kikosi cha Yanga kinachoanza mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: