Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: Hiki hapa Kikosi cha Yanga vs Al Hilal

Kikosi Yanga Vs Al Yanga vs Al Hilal CAF Champions

Sat, 8 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wawakilishi wa Tanzania na Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Timu ya Yanga inashuka dimbani majira ya saa 10:00 katika Uwanja wa Mkapa kuwakabili Timu ya Al Hilal kutoka Sudan.

Mchezo huo ni wa mkondo wa kwanza raundi ya kwanza kuwania kufuzu kwa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Hiki hapa ndicho kikosi cha Yanga kinachoanza mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live