Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza vs Raja Casablanca

Siiii.jpeg Simba SC

Fri, 31 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mqbingwa Afrika, Simba SC wanashuka dimbani muda mchache kutoka sasa kuwakabili vinara wa kundi C, Raja Casablanca.

Mchezo huo wa kukamilisha hatua ya makundi ni wa kusaka heahima kwa wenyeji Raja na kuweka rekodi ya kushinda michezo uote sita ya hatua ya Makundi.

Kwa upande wa Simba wao wanataka kulipa kisasi baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-0 katika mchezo wa Raundi ya kwanza Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Matokeo ya mchezo huo hayana athari kwa vilabu vyote viwili kwani tayari wameshakata tiketi ya kusonga hatua inayofuata ambayo ni Robo Fainali.

Hiki ndicho kikosi cha Simba kinachoanza mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live