Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Vipers

FpwOHfVXwAIkL9j Wachezaji wa Simba SC

Sat, 25 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba SC kinacheza mchezo wake wa tatu leo Februari 25 kuwavaa wenyeji Vipers FC ya nchini Uganda.

Simba inaingia katika mchezo huo wakiwa hawajakusanya alama yoyote kutoka katika michezo yao miwili iliyopita.

Vipers wao wana alama moja baada ya kutoka sare na Horoya wikiendi iliyopita.

Hiki ndicho kikosi cha Simba kinachokwenda kuanza mchezo wa leo unaopigwa katika Uwanja wa St Marys.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live