Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: Half Time' Yanga 0-0 Al Hilal

Yanga Vs Al Hilal Winga wa Yanga, Jesus Moloko akiwatoka wachezaji wa Al Hilal

Sat, 8 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zinakamilika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam sio wenyeji Yanga wala wageni Al Hilal kutoka kule nchini Sudan waliofanikiwa kupata goli.

Mchezo huo wa mkondo wa kwanza kuwania kufuzu kwa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika umewashuhudia Yanga wakiwa bora katika kuutawala mchezo licha ya kutopata bao.

Yanga wamefanikiwa kufanya masha,mbulizi kadhaa ya hatari langoni mwa Al Hilal huku Aziz Ki na Fiston Mayele wakipoteza nafasi kadhaa.

Winga Bernard Morisson ameonekana kuipa tabu safu ya ulinzi ya Al- Hilal huku akitengeneza nafasi kadhaa.

Prngine kila timu inakwenda kufanya mabadiliko ya mbinu ili kuweza kupata matokeo katika mchezo wa leo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live