Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: Half Time' Simba 1-0 Nyasa Big Bullets

Simba Ht Mkapa.jpeg Okrah akiwatoka wachezaji wa Nyasa

Sun, 18 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zinakamilika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam mchezo wa mkondo wa pili hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika.

Ni Simba SC wenyeji, dhidi ya Nyasa Big Bullets kutokea nchini Malawi.

Goli la uongozi la Simba SC limewekwa wavuni na mshambuliaji kutoka Zambia Moses Phiri akiwa anaendelea kuonesha thamani ndani ya kikosi cha Msimbazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live