Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: Half Time' De Agosto 0-1 Simba

Half Time Tt.jpeg Mchezo ni mapumziko huku matokeo yakiwa ni 0-1

Sun, 9 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zinakamilika katika uwanja wa Novemba 11, mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania kufuzu kwa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wenyeji De Agosto dhidi ya Simba SC.

Simba ndio wanaokwenda mapumziko kifua mbele wakiwa na uongozi wa bao 1-0 lililofungwa dakika ya 8 na kiungo Clatous Chama.

Timu zote zimekuwa zikishambuliana kwa zamu huku wenyeji De Agosto wakipoteza nafasi kadhaa ambazo kama wangekuwa makini wangeweza kupata bao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live