Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: 84' De Agosto 1-3 Simba SC

Mohammed Hussein.jpeg 85' 1-3

Sun, 9 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji De Agosto wanapata bao kwa mkwaju wa penati baada ya mchezaji wa Simba kuunawa mpira kwa mkono na mwamuzi kuamuru mkwaju wa penati.

Bao hilo linawarudisha De Agosto mchezoni na kuwafanya walisakame lango la Simba kwa nguvu zote na kumpa wakati mgumu mlinda mlango Aishi Manula.

Goli hili ndilo goli la kwanza Simba kuruhusi tangu ujio wa kocha Juma Mgunda katika klabu hiyo akichukua nafasi ya Zoran Maki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live