Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: 78' De Agosto 0-3 Simba

F1D4DB33 F6F8 4569 9B01 631FCA658413.jpeg Moses Phiri amefunga bao la tatu la Simba

Sun, 9 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Moses Phiri anazidi kuihakikishia Simba kuingia hatua ya Makundi akipachika bao la tatu maridadi na kuwapa Simba uongozi wa mabao 3-0 mbele ya De Agosto.

Moses Phiri anazidi kuihakikishia Simba kuingia hatua ya Makundi akipachika bao la tatu maridadi na kuwapa Simba uongozi wa mabao 3-0 mbele ya De Agosto. Phiri anapachika bao hilo akimaliza pasi safi iliyopigwa na Clatous Chama na kuwachambua vizuri mlinzi na mlinda mlango wa De Agosto.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live