Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: 67'' Yanga 1-1 Al Hilal

FejZT6jWAAMxLZB Matokeo ni 1-1 dakika ya 70

Sat, 8 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabadiliko wanayofanya Al Hilal yanawapa faida baada ya Mohamed Abdulrahaman Yusuf kuisawazishia Al Hilal na kufanya matokeo kuwa goli 1-1 dakika ya 67 ya mchezo.

Mabadiliko wanayofanya Al Hilal yanawapa faida baada ya Mohamed Abdulrahaman Yusuf kuisawazishia Al Hilal na kufanya matokeo kuwa goli 1-1 dakika ya 67 ya mchezo. Mabadiliko ya Al Hilal yanawapa nguvu pia na kuwafanya wafanye mashambulizi ya kustukiza mara kwa mara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live