Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: 65' De Agosto 0-2 Simba

Israel Mwenda Agosto.jpeg Israel Mwenda akishangilia bao la pili

Sun, 9 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba wanaendelea kutakata katika Uwanja wa Novemba 11 nchini Angola mchezo wa kuwania kufuzu kwa hatua ya Makaundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Simba wanaendelea kutakata katika Uwanja wa Novemba 11 nchini Angola mchezo wa kuwania kufuzu kwa hatua ya Makaundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Israel Mwenda anaiandikia Simba SC bao la pili akimalizia pasi safi kutoka kwa Sadio Kanoute na kuachia shuti lililotinga wavuni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live