Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: 64' Simba SC 2-0 Nyasa Big Bullets

D0F64A46 08D1 4824 AEDC 887E41B2413A.jpeg Phiri anazidi kuonesha ufalme wake mchezo wa leo

Sun, 18 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Moses Phiri anazidi kuonesha thamani yake ndani ya kikosi cha Msimbazi akiiandikia Simba bao la pili dakika ya 50 ya mchezo.

Moses Phiri anazidi kuonesha thamani yake ndani ya kikosi cha Msimbazi akiiandikia Simba bao la pili dakika ya 50 ya mchezo. Mchezo huu ni wa kuwania kufuzu raundi ya kwanza huku katika mkondo wa kwanza Simba iliahinda magoli 2-0 ugenini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live