Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: 40' Simba 1-0 Nyasa Big Bullets

Phiri Kwa Mkapa.jpeg Mfungaji wa bao la Simba, Moses Phiri

Sun, 18 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mambo yanazidi kuwanyookea wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Ligi ya Mbaingwa Afrika, Simba SC mbele ya Nyasa Big Bullets kutokea nchini Malawi.

Mambo yanazidi kuwanyookea wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Ligi ya Mbaingwa Afrika, Simba SC mbele ya Nyasa Big Bullets kutokea nchini Malawi. Tayari mshambuliaji Moses Phiri anawapa Simba bao la uongozi na kufanya matokeo kuwa 1-0 huku mchezo wa mkondo wa kwanza Simba akiibuka na ushindi wa magoli 2-0 ugenini nchini Malawi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live