Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: 30' Agosto 0-1 Simba

De Agosto Vs Simba.jpeg Chama anaipa Simba bao la uongozi

Sun, 9 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Timu ya Simba wanaanza kwa kupata bao la mapema dhidi ya Agosto mchezo unaopigwa mchini Angola.

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Timu ya Simba wanaanza kwa kupata bao la mapema dhidi ya Agosto mchezo unaopigwa mchini Angola. Bao la Simba limewekwa wavuni na Kiungo wa Kimataifa wa Zambia, Clatous Chama dakika ya 8 ya mchezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live