Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: 22' Vipers 0-1 Simba

Ingonga Goal Inonga akifunga bao la kwanza la Simba katika mchezo wa leo

Sat, 25 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wawakilishi wa Tanzania, Simba SC wanapata bao la uongozi katika Uwanja wa St Marys Jijini Kampala.

Beki Henock Inonga akimalizia mpira wa kichwa uliopigwa na Moses Phiri anaumalizia na kuutumbukiza wavuni.

Hili ni bao la kwanza Simba kufunga katika Michuano ya CAF hatua ya Makundi msimu huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live