Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: 19' Horoya 1-0 Simba

Horoya Goal 1 Horoya wanapata bao la uongozi

Sat, 11 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 18 tu zimetosha kuwapa wenyeji bao la uongozi dhidi ya Simba SC, mchezo wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mpira wa kona unamkuta ndiaye anaepiga kichwa kinachomshinda Aishi Manula na kutinga wavuni.

Horoya wameutawala mchezo kwa dakika hizi chache huku wakiwa wameshafanya mashambulizi kadhaa ya hatari langoni mwa Simba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live