Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KDB: Haaland atashinda Ballon D'or mwaka huu

KDB, Haaland And Messi KDB: Haaland atashinda Ballon D'or mwaka huu

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Manchester City Kelvin De Bruyne ameulizwa na mwandishi wa habari juu ya Haaland na Messi ni nani atashinda Balon D’Or mwaka huu ?

KDB amenyoosha kwamba tuzo itaenda kwa Haaland !

Mwandishi akaongeza swali , unafahamu kama Messi ameshinda Kombe la Dunia ?

KDB akanyoosha tena ,hata 2010 Iniesta alishinda kombe la Dunia lakini hakupata Ballon D’Or

Mwandishi akaongeza kwa kusema hiyo 2010 unayoisema Messi alifunga magoli mengi zaidi ya Iniesta !

KDB akanyoosha tena upo sawa na hata mwaka huu itaenda kwa Haaland kwa sababu amefunga magoli mengi zaidi ya Messi !

Kete yako inaenda upande upi ___?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live