Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KAMATI YA MAPINDUZI CUP YATAJWA

ZFF.png KAMATI YA MAPINDUZI CUP YATAJWA

Thu, 17 Dec 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Vijana Sanaa na Utamaduni na Michezo Omar Hassan (King) ameelezea tarehe ya kuanza kwa mashindano ya Mapinduzi Cup ni Januari 1 hadi 3 kwa kushirikisha timu 4 za Zanzibar na timu 5 za Tanzania Bara pia ametaja Majina ya wanakamati hio.

1)M/kiti wa Kamati ya Mapinduzi Cup – Ndugu Khamis Abdallah Said

2)Katibu Mtendaji BTMZ pia Naibu Katibu wa Kamati Mapinduzi Cup Ndugu Suleiman Pandu Koleza

3)Katibu Mkuu Fedha – Ndugu Khamis Mussa Omar

4)Mratibu Shughuli za Serikali (SMZ ) Tanzania Bara – Ndugu Issa Mlingoti

5)Katibu Mkuu – Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Tanzania (BMT )

6)Mkurugenzi wa Michezo – Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Tanzania Bara

7)Katibu wa Baraza – Baraza la Michezo Tanzania (BMT)

8)Afisa Mdhamini Pemba Wizara ya Habari – Fatma Hmad Rajab

9)Rais ZFF – Seif Kombo Pandu

10)Ndugu Aiman Othman Duwe – Chuo cha Habari – Katibu wa Kamati

11)Makamo wa Rais ZFF – Ndugu Salum Ubwa

12)Mwakilishi wa Kuisaidia Kamati kwa timu kutoka Bara – Ndugu Juma Mmanga

13)Mkurugenzi Mkuu ZBC – Chande Omar

14)Mhasibu Mkuu Wizara ya Habari – Ambar Sharif

15)Abdul – Amin Moh’d Juma – Meneja Uwanja wa Amaan

Chanzo: zanzibar24.co.tz