Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Juventus wapo 'siriaz' kwa Pulisic

Pulisic Cristian Christian Pulisic

Wed, 31 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Juventus ipo kwenye mstari wa mbele kumsajili winga wa Chelsea Mmarekani Christian Pulisic huku The Blues wakijiandaa kumwachia nyota huyo mwenye umri wa miaka 24 kwa dau la pauni milioni 20.

Klabu ya Juventus ipo kwenye mstari wa mbele kumsajili winga wa Chelsea Mmarekani Christian Pulisic huku The Blues wakijiandaa kumwachia nyota huyo mwenye umri wa miaka 24 kwa dau la pauni milioni 20. Chelsea ambayo ilimsajili Pulisic kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni 58 mnamo 2019 inataka kupunguza baadhi ya nyota wake na Pulisic ambaye amebakisha mwaka mmoja kwenye mkataba wake Stamford Bridge ni miongoni mwa watakaooneshwa mlango wa kutokea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: