Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Juventus kuibuka kinara vita ya kumnasa Sancho

Jadon Sancho Jadon Sancho

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Juventus ya Italia inavutiwa na huduma ya mchezaji wa Manchester United Jadon Sancho ambaye anatarajiwa kuondoka Januari Juve tayari imepeleka pendekezo la kumnasa mchezaji huyo kwa mkopo huku wakitarajia kumsajili moja kwa moja ikumbumkwe pia Sancho anawindwa na baadhi ya vilabu kutoka Saudi Arabia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live