Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Juventus, Napoli vitani kumuwania Mason Greenwood

Manchester United Yawapa Pigo Kubwa Getafe Kwenye Sakata La Mason Greenwood Mason Greenwood

Fri, 17 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Napoli wanavutiwa na mshambuliaji wa Uingereza Mason Greenwood, ambaye kwasasa anakipiga Getafe kwa mkopo akitokea Manchester United.

Napoli wanavutiwa na mshambuliaji wa Uingereza Mason Greenwood, ambaye kwasasa anakipiga Getafe kwa mkopo akitokea Manchester United. Taarifa zinasema matamanio ya Napoli yanaweza kukabiliwa na ushindani mkubwa kutoka Juventus ambao pia wameonyesha nia kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live