Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Juve yaimarisha nia ya kumsajili Douglas Luiz

Juve Yaimarisha Nia Ya Kumsajili Douglas Luiz Juve yaimarisha nia ya kumsajili Douglas Luiz

Wed, 12 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tetesi za usajili zinasema Juventus ipo katika hatua nzuri ya mazungumzo kumsajili kiungo wa Brazil Douglas Luiz,26, kutoka Aston Villa. (Sky Sports)

Chelsea imeamsha nia yake ya kumsajili mshambuliaji wa Aston Villa na Colombia Jhon Duran, 20. (Telegraph - subscription)

Beki wa Chelsea Levi Colwill, 21, anabaki uwa mlengwa wa usajiliwa Bayern Munich licha shauku yao ya kumsajili beki wa timu ya taifa ya Ujerumani na Bayer Leverkusen Jonathan Tah,28. (Sky Germany)

Bayern imeanza mazumgumzo na Leverkusen kwa ajili ya Tah. (Bild)

Hata hivyo Colwill ametulia Chelsea na klabu hiyo haitaki kumuuza. (Standard)

Manchester United inajiandaa kushindana na Arsenal kumfukuzia fowadi dachi wa Bologna Joshua Zirkzee, 23, ambaye ana kipengele cha kuachiwa cha pauni mil 34. (Metro)

West Ham iko mbele ya Aston Villa na Tottenham katika mbio za kumsajili mshambuliaji wa Roma, Tammy Abraham,26. (Gazzetta - in Italian)

Arsenal inakabiliwa na ushindani kumbakiza fiwodi wa timu ya taifa ya Denmark chini miaka 17 Chido Obi-Martin, 16, ambaye anawindwa na Bayern Munich.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live