Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Junior mambo mazuri Uarabuni

Said Pic Data Said Junior asaini mkataba mpya

Fri, 12 Nov 2021 Chanzo: www.mwanaspoti.co.tz

Mshambuliaji Said Junior wa Baniyas inayoshiriki Ligi ya falme za Kiarabu leo amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia timu hiyo mpaka mwaka 2024.

Junior amekuwa na wakati mzuri akiwa na kikosi hicho baada ya msimu uliopita kumaliza Ligi akiwa na mabao 22 huku akiwa mfungaji bora katika Ligi hiyo ya falme za kiarabu.

Mshambuliaji huyo alijiunga na Baniyas April 2020 baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Mbao iliyokuwa inashiriki Ligi Kuu nchini.

Junior alisajiliwa pamoja na mtanzania mwingine, Tibar John lakini hajawa na wakati mzuri katika kikosi hicho cha falme za kiarabu.

Chanzo: www.mwanaspoti.co.tz