Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Juma Abdul kurejea dimbani msimu ujao

Juma Abdul Makapu Juma Abdul kurejea dimbani msimu ujao

Mon, 22 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa timu ya Yanga SC, Juma Abdul amethibitisha kurudi Ligi kuu Mwezi wa Sita.

Mchezaji wa zamani wa timu ya Yanga SC, Juma Abdul amethibitisha kurudi Ligi kuu Mwezi wa Sita. "Nasubiri Mwezi wa sita (6) nitarudi kucheza bado nahisi miguu inanidai na nina misimi miwili ya kucheza," amesema Juma Abdul.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live