Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Julio aomba kutangazwa Singida baada ya mechi ya Simba

Julio+pic Jamhuri Kihwelu ‘Julio’

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Singida Fountain Gate yenye maskani yake Jijini Mwanza imeinasa saini ya kocha wa zamani wa Simba, Namungo, Mwadui na klabu kadhaa nchini Jamhuri Kihwelu Julio.

Klabu ya Singida Fountain Gate yenye maskani yake Jijini Mwanza imeinasa saini ya kocha wa zamani wa Simba, Namungo, Mwadui na klabu kadhaa nchini Jamhuri Kihwelu Julio. Julio anatarajiwa kutangazwa na klabu hiyo mara baada ya mchezo wa Singida Fountain Gate dhidi ya Simba unaotarajiwa kupigwa jumanne hii, lengo ni kuibakisha timu Ligi kuu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live